Kipi bora, upate Mwenza 'mwingi' lakini anakujali, mnasikilizana, anakuheshimu au Mwenza Mtiifu lakini amezubaa, kisirani

Mmh, kuongea ni rahisi...kabisa ushtukie anakula pisi kali mahali.
UKISHAKUA mwanandoa basi hakikisha meza yamazungumzo namweza wako ipo, kukumbushana moja mbili tatu, hata kama utani ujumbe umefika

SHIDA YETu
hatutakagi kutambua huyu nilimuoa bikra ishachunwa, unakuta jitu limekaza shingo mimi hua sigongewi mkewangu haya mwanamke nae haaa wewe mumewangu hawezi chepuka anavokuja kujua ya natokea kama ya neema mbezi kwenu daresalaam

Ukiona umeoa mwanamke hana bikra au hata kama umeikuta basi kwa maisha ya sasa nakwahapa bongo

Win win _ situation is an inevitable here
 
Mimi ni ke...namaanisha nataka sifa (nzuri) za wote wawilI kwa mtu mmoja
Ok...ila sasa hizo sifa mbona ni kama giza na mwangaza...yaani lazima moja isiwepo.

Wa kisirani na Gubu awe tena amshaamsha inawezekana kweli?.
 
UKISHAKUA mwanandoa basi hakikisha meza yamazungumzo namweza wako ipo, kukumbushana moja mbili tatu, hata kama utani ujumbe umefika

SHIDA YETu
hatutakagi kutambua huyu nilimuoa bikra ishachunwa, unakuta jitu limekaza shingo mimi hua sigongewi mkewangu haya mwanamke nae haaa wewe mumewangu hawezi chepuka anavokuja kujua ya natokea kama ya neema mbezi kwenu daresalaam

Ukiona umeoa mwanamke hana bikra au hata kama umeikuta basi kwa maisha ya sasa nakwahapa bongo

Win win _ situation is an inevitable here
That is true.
 
Back
Top Bottom