Kipi bora na nafuu kati ya kununua nyumba iliyokamilika na kujenga mwenyewe

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,552
Wakuu, kichwa cha habari hapo juu chahusika.

Kipi n bora kati ya kununua nyumba iliyokamilika (mpya au kwa mtu) na kujenga mwenyewe kuanzia kutafuta kiwanja mpk finishing, maji, umeme,nk? Ni nyumba yenye ramani hiyohiyo.

Kuna hela nimepata nataka kufanya maamuzi. Proposed location ni Morogoro mjini.

Naombeni ushauri.
 
kujenga ni best options kwa mazingira yetu ya ki Tanzania..

japo inakula muda wako na akili kusimamia nyumba iishe...

nyumba nyingi tanzania haziuzwi kwa bei yenye uhalisia
 
Kama una uzoefu kidogo wa mambo ya ujenzi..jenga yako, kama huna na utahitaji watu wakusimamie ..nunua...
 
Kama ni pesa ya pension nunua nyumba, Kama umepata na bado kijana jenga.
Sababu:
1. Pesa ya pension ukianza kujenga utakomea renta tu inakuishia.
2. Kama unahangaika na maisha kujenga itakuhakikishia ubora wa nyumba.
NB Usijenge kwa simu, usimamie mwenyewe physically
 
Back
Top Bottom