Kipi bora: LLM Vs Law school?

The Dude

JF-Expert Member
Sep 14, 2011
1,029
453
hii kitu niliipost kwenye jukwaa la sheria lakini nimeshauriwa na mtu ni post huku kwenye jukwaa la elimu...
Wadau naomba mawazo yenu..mtu anamaliza LLB mwaka huu, uamuzi mzuri zaidi ni upi kati ya kupiga masters na kwenda law school?​
 
hbu jitahidi unajihakikishia ajira kwanza utamaliza mastrs yako au law school utakuta kumejaa mana ssa vyuo vinavotoa sheria ka njugu
 
Kwa system ya Tanzania ni bora Law School kuliko LLM
 
Kama unataka kufanikisha mambo haraka, maliza Law School, pata uwakil (advocate), kisha LLM. Vinginevyo, nenda LLM ili ukirejea nenda Law School. Elewa Law School ipo pale pale hata ukiwa na Phd.
 
Back
Top Bottom