toa manufaa ya law school na itanisaidiaje.Nenda Law School kwanza ukishavuzu ndo usome masters itakusaidia
Sio manufaa tu, bali tupe mpaka idadi ya wanafunzi waliosajiliwa since hii program imeanzishwa na wangapi wamefuzu na wangapi hawakufuzu.toa manufaa ya law school na itanisaidiaje.
Wadau naomba mawazo yenu..mtu anamaliza LLB mwaka huu, uamuzi mzuri zaidi ni upi kati ya kupiga masters na kwenda law school?
It all go back to the basics. Kwa nini uliamua kusoma sheria?toa manufaa ya law school na itanisaidiaje.
toa manufaa ya law school na itanisaidiaje.
Wadau naomba mawazo yenu..mtu anamaliza LLB mwaka huu, uamuzi mzuri zaidi ni upi kati ya kupiga masters na kwenda law school?
yap na mimi nilikuwa na mawazo hayo ! tunaomba wana jf watushauri kulingana na jinsi wanavyoona trend ya soko inavyokwenda, au kama inawezekana vyote kusomwa PGDL & LLM simulteneously pamoja na advantages na disadvantages zake pamoja na kutupa testmonials za successive key people.
<br />Law school kwanza..ili uweze ku practise sheria lazima uwe umepita law school kwanza. manufaa ya kwenda law school ni kwamba unajifunza technicalities za sheria na drafting of different legal documents, pia field ya law school itakusaidia sana kujua vitu kwa vitendo kwa vile utakaa kote kwenye law firms na mahakamani
<br />
<br />
Trust me,kuna baadhi ya college ukigraduate unakuwa competent katika hayo yote unayosema.kama mimi,sijisifii ila tangu 1st year nimekwenda courts,lawfirms etc kufanya field.na legal drafting ni core course tangu 1st yr mpk 4th yr..na huko field tumekuwa na watu wa law school lakini wakati mwingine unademonstrate exemplary performance kuliko wanaotoka law school,na hadi wenyewe wanaappreciate...anyways,madama mtu anataka kuwa advocate na kupractice,law school is inevitable.