Kipi bora: Kusoma ukijua hakuna ajira au kuacha kusoma

Kwa jinsi hali ilivyo,ni bora ukajiimarisha kwenye biashara unayoifanya kwa uvumilivu na nidhamu.
Usikate tamaa na kujutia elimu yako.Maisha yamebadilika sana kipindi hiki na hakuna namna nyingine.
Usisahahu kutafuta kitambulisho cha mjasiria mali ili uwe salama zaidi.
Pamoja na kidogo unachopata weka akiba na bana matumizi.
Utanikumbuka.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom