Kipi bora: Kusoma ukijua hakuna ajira au kuacha kusoma

Wabongo ni hatari hasa wa jamii forum,kila mtu nyuma ya keyboard kajiajiri anafanya maisha yake.Ila ukija kwenye uhalisia unakuta hata biashara ya nyanya hajawai fanya.

Ukitaka amini wewe sikilizia zile tarehe za mshahara, halafu mshahara uchelewe uzi za mshahara zinafunguliwa kila kona.Au kaangalie ule uzi wa kubadilisha vituo vya kazi ulivo na page nyingi.

Mkuu jikaze tuu ndiyo serikali yetu imeshagoma kuajiri,maisha lazima yaendelee.
nyuma ya keyboard. Ila wanatuona cc tunaomaliza chuo Ni wazembe sana. But Mungu yupo
 
Huyu Dogo bado hajajua maisha ni nn? Ye anataka kila anachogusa kitiki. Mbaya zaidi amesoma aajiliwe hajasoma ili atumie alichokisoma kuishi.

Ipo ivi "tunaishi kwenye ulimwengu ambao vita ni fursa , vita ndio zone of accomplishment , yani huwezi fanikisha chochote mpaka uingie uliligoni upambane na ushinde na hapo kuna option mbili tu kuuwa au kuuwaliwa.

Kipindi vita inalaumiwa kwa kusababisha maafa uharibifu na mpasuko baina ya watu lakini bado vita hiyo hiyo ndio huziinua falme na kuwa sehem sahihi ya kutimiza malengo ya wapiganaji.

Kiufupi hakuna vita inayoibuka empty empty lazima iwe golden chance for accomplishment. "

Sasa kijana kama huyu wa miaka 21-27 ashaanza kuonesha hali ya kukubari kushindwa,kulalamika na kuonesha kama hali ni ngumu na hakuna namna yakufanya. Hii ni kudhihilisha kushindwa kabda hata ya vita kuanza. Na tafsiri yake ni kutafta msada na kuhurumiwa badala yakutafta nafasi na connection. Kijana usirahisishe maisha wala usijitie ugumu ingia vitani katafte taji lako. Hakuna mafanikio rahisi kama unayoyatafuta wewe.
 
Nipe sababu mkuu! Niwe tu muwazi toka naanza kusoma mpaka saivi nimebakiza 5 weeks nimalize degree yangu ya kwanza hakuna mwalimu aliyewahi kuniambia et nimalze nikajiajiri. Mpaka saiv nafundishwa nwmna ya kuandika cv nzuri na namna ya kufanya interview. Hayo ya kujiajiri Ni kujiongeza tu mkuu
 
To be honest, hakuna kitu kinaumiza graduates nikiwemo mimi kama kusoma huku nikijua kabisa ajira ni ya kusotea sana. Nikipiga mahesabu pesa niliyotumia kusomea chuo kikuu Ni zaidi ya 9.5m ilikuwa inatosha kujiajiri. Naumia sana ila sina cha kufanya. Najua wengi mtahuji kuwa nilisaini mkataba wa kuajiriwa baada kumaliza kusoma.

Jibu ni kwamba kujiajiri naweza sana lakini tayari nimetumia pesa na kupoteza muda mwingi sana kusoma masomo ya chuo kikuu. Yani bora ningeishia form nikafanya mishe mishe make haya maisha niliyaona kipindi cha Corona ni MAGUMU nilikuwa napiga biashara ndogo ndogo ila hali ni ngumu sana. Niseme ukweli kabisa nilianza biashara kwama tarehe 28/3/2020 ila mpaka tunafungua vyuo sikuwahi kupata Faida 20000 kwenda juu kwa siku. Nakumbuka siku nimepata faida kubwa sana nilipata 14500 but siku zingine nilikuwa naishia 4000 mpaka 10500.

Jamani Mimi Kama mhitimu wa Elimu ya juu siyo kwamba sipendi kujiajiri napenda sana lakini mtaani Ni kugumu sana, niseme ukweli kabisa nawaza sana. Ila kinachoniumiza zaidi n kwenda kuanza upya baada ya kumaliza kusoma na umri umesonga sana hivyo hata kwenda kukaa nyumbani ama kwa ndugu naona aibu sana. Mi nimesoma ualimu wa Elimu ya msingi (Bachelor of Education in Primary Education). Naomba hata mwenye connection na shule anifanyie mpango kweli hata nikaanze maisha jmn. Mtaji nimejichanga ila naona hautoshi kwa plani zangu.

Naomba kuwasilisha
Elimu itabaki kuwa Bora kwa mtu salama

Chief
Ikiwa umeanza kufanya kazi zako mwenyewe,na una make kwa siku Faida ya Alfu 4 mpaka Alfu 10...Basi upo katika mafanikio

Pambana Chief
Hutokuja kujuta hapo mbeleni...
Ila fahamu
Ajira ina raha yake...sema Karaha zake ni nyingi hususan kwa Afrika

Ushauri wangu
Usitafute Ajira....Bali jiajiri mwenyewe
Endeleza kazi uliyokuwa nayo
Na kama muda unaruhusu....Halafu katika Masomo kama ya Maths,Phy.Chem,Bios,Geog..upo vyema

Basi tangaza Tution kwa Vijana...Hutokosa angalau ya Pango la nyumba

Pambana Bro
Pambana
 
Mkuu siyo kwa nilikuwa napa elfu 10 kila siku hapana kuna siku nilikuwa napata hata 4500 niwe tu mkeli. Ila Kuna siku zilikuwa zikienda vzr unapata mpaka 8000 au elfu 10 au zaid
Mauzo au faida??
 
Huyu Dogo bado hajajua maisha ni nn? Ye anataka kila anachogusa kitiki. Mbaya zaidi amesoma aajiliwe hajasoma ili atumie alichokisoma kuishi.

Ipo ivi "tunaishi kwenye ulimwengu ambao vita ni fursa , vita ndio zone of accomplishment , yani huwezi fanikisha chochote mpaka uingie uliligoni upambane na ushinde na hapo kuna option mbili tu kuuwa au kuuwaliwa.

Kipindi vita inalaumiwa kwa kusababisha maafa uharibifu na mpasuko baina ya watu lakini bado vita hiyo hiyo ndio huziinua falme na kuwa sehem sahihi ya kutimiza malengo ya wapiganaji.

Kiufupi hakuna vita inayoibuka empty empty lazima iwe golden chance for accomplishment. "

Sasa kijana kama huyu wa miaka 21-27 ashaanza kuonesha hali ya kukubari kushindwa,kulalamika na kuonesha kama hali ni ngumu na hakuna namna yakufanya. Hii ni kudhihilisha kushindwa kabda hata ya vita kuanza. Na tafsiri yake ni kutafta msada na kuhurumiwa badala yakutafta nafasi na connection. Kijana usirahisishe maisha wala usijitie ugumu ingia vitani katafte taji lako. Hakuna mafanikio rahisi kama unayoyatafuta wewe.
Mkuu siyo kwamba natafuta kirahisi Kama unavyo nifikiria na sitafuti kuonewa huruma kamanda. Kupambana napambana ila kitaa siyo poa Kama wengi wetu tulivyokuwa tunadhani. Mkuu kwa kazi ninazo zijua na mtaji nilio nao uhakika wa kuishi upo ila kinachoniumiza n kusoma afu nisiajiriwe.

Boss unachotakiwa kutambua Ni kuwa hata ukosefu wa pesa mtaani huenda unasababishwa na vijana kutoajiriwa kwa sababu Kama wote tutafanya kazi hizo hizo nani atakuwa mteja wa mwingine? Watu wanafanya kazi ila inatakiwa ajira iwepo ili tunaotaka kuajiriwa na ambaye hataki ajiajiri mwenyewe. Wengine tuliogopa kujiajiri tukarudi shuleni na hii ndiyo sababu ya kumaliza chuo nikiwa mtu mzima
 
Elimu itabaki kuwa Bora kwa mtu salama

Chief
Ikiwa umeanza kufanya kazi zako mwenyewe,na una make kwa siku Faida ya Alfu 4 mpaka Alfu 10...Basi upo katika mafanikio

Pambana Chief
Hutokuja kujuta hapo mbeleni...
Ila fahamu
Ajira ina raha yake...sema Karaha zake ni nyingi hususan kwa Afrika

Ushauri wangu
Usitafute Ajira....Bali jiajiri mwenyewe
Endeleza kazi uliyokuwa nayo
Na kama muda unaruhusu....Halafu katika Masomo kama ya Maths,Phy.Chem,Bios,Geog..upo vyema

Basi tangaza Tution kwa Vijana...Hutokosa angalau ya Pango la nyumba

Pambana Bro
Pambana
Asante kwa ushauri na mawazo mazuri
 
Mkuu siyo kwamba natafuta kirahisi Kama unavyo nifikiria na sitafuti kuonewa huruma kamanda. Kupambana napambana ila kitaa siyo poa Kama wengi wetu tulivyokuwa tunadhani. Mkuu kwa kazi ninazo zijua na mtaji nilio nao uhakika wa kuishi upo ila kinachoniumiza n kusoma afu nisiajiriwe.

Boss unachotakiwa kutambua Ni kuwa hata ukosefu wa pesa mtaani huenda unasababishwa na vijana kutoajiriwa kwa sababu Kama wote tutafanya kazi hizo hizo nani atakuwa mteja wa mwingine? Watu wanafanya kazi ila inatakiwa ajira iwepo ili tunaotaka kuajiriwa na ambaye hataki ajiajiri mwenyewe. Wengine tuliogopa kujiajiri tukarudi shuleni na hii ndiyo sababu ya kumaliza chuo nikiwa mtu mzima
Lengo la elimu sio ajira pekee. Lengo la elimu ni kutafuta maarifa juu ya kitu au jambo flani. Ajira ni biashara ambayo mwenye ujuzi anamuuzia mwenye uhitaji na ujuzi wake. Ko muajiri aspokuajiri sio kesi kwake mana hayupo tayari kufanya biashara na wewe ko hakuna wakumlazimisha. Ko soma ili jamii i inufaike na elimu yako na hapa ndo utajuwa kwann motivation speakers wengi wanahamisisha mtu kutafta na kuishi kusudi lake. Mana dunia inamlipa mtu anayeishi kusudi lake
 
To be honest, hakuna kitu kinaumiza graduates nikiwemo mimi kama kusoma huku nikijua kabisa ajira ni ya kusotea sana. Nikipiga mahesabu pesa niliyotumia kusomea chuo kikuu Ni zaidi ya 9.5m ilikuwa inatosha kujiajiri. Naumia sana ila sina cha kufanya. Najua wengi mtahuji kuwa nilisaini mkataba wa kuajiriwa baada kumaliza kusoma.

Jibu ni kwamba kujiajiri naweza sana lakini tayari nimetumia pesa na kupoteza muda mwingi sana kusoma masomo ya chuo kikuu. Yani bora ningeishia form nikafanya mishe mishe make haya maisha niliyaona kipindi cha Corona ni MAGUMU nilikuwa napiga biashara ndogo ndogo ila hali ni ngumu sana. Niseme ukweli kabisa nilianza biashara kwama tarehe 28/3/2020 ila mpaka tunafungua vyuo sikuwahi kupata Faida 20000 kwenda juu kwa siku. Nakumbuka siku nimepata faida kubwa sana nilipata 14500 but siku zingine nilikuwa naishia 4000 mpaka 10500.

Jamani Mimi Kama mhitimu wa Elimu ya juu siyo kwamba sipendi kujiajiri napenda sana lakini mtaani Ni kugumu sana, niseme ukweli kabisa nawaza sana. Ila kinachoniumiza zaidi n kwenda kuanza upya baada ya kumaliza kusoma na umri umesonga sana hivyo hata kwenda kukaa nyumbani ama kwa ndugu naona aibu sana. Mi nimesoma ualimu wa Elimu ya msingi (Bachelor of Education in Primary Education). Naomba hata mwenye connection na shule anifanyie mpango kweli hata nikaanze maisha jmn. Mtaji nimejichanga ila naona hautoshi kwa plani zangu.

Naomba kuwasilisha
Kusoma ukijua hakuna ajira ni bora zaidi...
 
Lengo la elimu sio ajira pekee. Lengo la elimu ni kutafuta maarifa juu ya kitu au jambo flani. Ajira ni biashara ambayo mwenye ujuzi anamuuzia mwenye uhitaji na ujuzi wake. Ko muajiri aspokuajiri sio kesi kwake mana hayupo tayari kufanya biashara na wewe ko hakuna wakumlazimisha. Ko soma ili jamii i inufaike na elimu yako na hapa ndo utajuwa kwann motivation speakers wengi wanahamisisha mtu kutafta na kuishi kusudi lake. Mana dunia inamlipa mtu anayeishi kusudi lake
Natambua hilo mkuu ila.... Basi tu kibongo bongo na nilivyoaminishwa tayari nilishachanganyikiwa mimj
 
Wabongo ni hatari hasa wa jamii forum,kila mtu nyuma ya keyboard kajiajiri anafanya maisha yake.Ila ukija kwenye uhalisia unakuta hata biashara ya nyanya hajawai fanya.

Ukitaka amini wewe sikilizia zile tarehe za mshahara, halafu mshahara uchelewe uzi za mshahara zinafunguliwa kila kona.Au kaangalie ule uzi wa kubadilisha vituo vya kazi ulivo na page nyingi.

Mkuu jikaze tuu ndiyo serikali yetu imeshagoma kuajiri,maisha lazima yaendelee.
hahahhahahha ajabu wale watu (wakubadilishana vituo) nyuzi za kawaida hukuti id hata moja huku
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom