Kipi bora kupekua simu ya mpenzi wako au kuipotezea

Kwa nini mwenzio anaendekeza mawasiliano yasiyofaa na watu wengine wakati yuko katika mahusiano na wewe? Kwa nini hasa?
 
Kwa nini mwenzio anaendekeza mawasiliano yasiyofaa na watu wengine wakati yuko katika mahusiano na wewe? Kwa nini hasa?
Jamaa alivyoandika inawezekana hata mwenzake hana mawasiliano yasioleweka ila hisia zake ndo zinamfanya aone kila kitu tofauti na vile kilivyo.
 
Jamaa alivyoandika inawezekana hata mwenzake hana mawasiliano yasioleweka ila hisia zake ndo zinamfanya aone kila kitu tofauti na vile kilivyo.

Kama ni hivyo basi tatizo ni kubwa zaidi maana hiyo inaweza kuwa ni dalili ya ugonjwa wa akili = kuhisi na kuona vitu ambavyo havipo!
 
hamuaminiani mpaka mchunguzane, huo ndio mwanzo wa kutafuta shari, si upekue yakwako!
 
Bora kupotezea.

Ooh Da'huuuu!
Inauma sana kupotezea, ıs better ukaıfurahısha roho yako make nyıe hamuelewekı kabısa hapa mkıpewa vyoote vılıvyopo hapa dunıanı!
 
Back
Top Bottom