Kipi bora kati ya kutumia window defender au anti-virusi zingine?

Full charge

JF-Expert Member
Mar 1, 2018
1,537
1,399
Wadau mnaotumia sana talakirishi (computer) nimekuwa nikiona watu wengi wakitumia anti virus kwenye window computer zao ikiwa window inakuja na sucurity yake (window defender). Kipi bora kutumia kati ya hivi?
 
Window defender ni nzuri sana kwa mtazamo wangu maana mi nina hiyo window defender tangu mwaka 2020 June nikiwa sina Antivirus yoyote ile.

Hizo antivirus zingine siyo nzuri kivile maana sina uhakika lakini ninasikia Avast Antivirus ikikaa muda mrefu kwenye PC huwa inatengeneza mdudu ambaye huwa hatoki hadi uweke window mpya.
 
Yes, ata mi naamn ivo mkuu.
 
Kama uantumia Operating System (Os) za Microsoft kama windows operating system like windows 7, windows 8, 8.1 and 10, kitaalamu haushauri kutumia antiviruses zingine zisizo tengenezwa na Microsoft (kama Kaspersky, Noton, Avira na n.k).

Windows OS zinamifumo yenyewe ya kujilinda ambapo kwa windows 8 na kuendelea huo mfumo unaitwa Windows Defender na kwa windows 7 weka Antivirus inaitwa Microsoft essential toka Microsoft wenyewe.

Kumbuka ku-update Windows defender kila mara kadri uwezavyo ili iwe active pale Computer yako inapokuwa connected with the internet. Nadhani huu ni ushauri bora niliowahi kutoa hapa jukwaani tangia nijunge jamiiforums, Mada nyingi huwa nachangiaga kwa ajili ya "kufurahisha genge"
 
Kitaalam haushauri, kwa sababu zipi haushauri.
 
Kaka Chief-Mkwawa toa neno hapa please.
Virusi vimeshapitwa na wakati watu hata hawatengenezi, siku hizi unaekewa migodi ya but coin, Spyware wachukue data zako, adware wakujazie matangazo, browser hijacking etc.

Defender sio mbaya kuanzia ila unapoona imezidiwa na haifanyi kazi zipo program nzuri zaidi kwenye threat za kisasa kama Malware bytes.
 
Hii malware bytes ni free mkuu?
 
Kuna version ya bure Na kulipia, sema sio lazima muda wote ikae kwenye pc, mimi huwa pc ikizingua naiweka nascan Kisha naitoa.
Samahani mkuu Chief-Mkwawa kama nitakuwa nje ya maada

Laptop yangu naona haifungui mafile hivi tatizo linaweza kuwa nini.?
 
Vlc,cubase 4 na firefox, pc yangu Ina mafile wachache tu

Na kuhusu icon hazijabadilika.
Jaribu kwenda my computer ama this pc, kisha Nenda local disk C Kisha program files tafuta folder la vlc ama Firefox ama cubase Kisha ifungue program kupitia humo, inafungukia?
 
Back
Top Bottom