Kipi bora kati ya kuongozwa na Taa za Barabarani au Traffic?

Bavaria

JF-Expert Member
Jun 14, 2011
53,102
53,351
Sehemu zenye makutano ya barabara. Je, ungependa kuwepo na taa za kuongoza magari au traffic?
Nipe sababu.
 
Bora kuongozwa na taa, muda mwingine trafiki anapigiwa na Mke wake anawahi kunyonyesha basi mtagandishwa upande mmoja hadi mtu wake apite!
 
Back
Top Bottom