Kipi bora kati ya kununua nyumba au kujenga nyumba?

Kabla ya kumshauri naomba kwanza nimlaumu(samahan lakin)

1.Haingii akilini mpaka anafikisha Miaka 60 kazini Hajasimamisha ata chumba kimoja. Huu Ni uzembe wa Ali ya juu na haitakiwi kufumbiwa macho.

2.Kiinua mgongo hakiwekwa ili mtumishi akajenge, kile ni kwa ajili ya KULA TU matunda ya utumishi wake Miaka yote iyo aliyotumikia(kifuta jasho).
Maana yake ile ilitakiwa iwe pesa ya KULA mema ya nchi,utalii na vacation mbalimbali.

Ushauri:
1. Arudi Mkoani alikozaliwa akatafute Kiwanja Cha Bei nafuu, akajenge nyumba nafuu isiyozidi milioni 20-25

Kwanini nasema ivo: Akijitutumua kujenga hapa Mjini kwa mil. 60, atabakiwa na mil 20.
Sijajua ataifanyia nini ila Kama Ni kujiingiza katika utaftaji,
nakuapia atafeli vibaya mno maana purukushani za utaftaji kwa umri huo wa 60+ Ktk mji wetu huu hatoziweza kabisa, ATAKUFA KWA PRESHA BURE.

2. ASIWE NA WASHAURI WENGI WA FEDHA.
hapa wazee wa fursa washanusa mzee atashika mpunga mwingi mdA sio mrefu.

-Wazee wa MR. KUKU
(wekeza laki 7 upate milioni 70 kwa wiki 4)

-wazee wa FOREX
(wekeza Dola 1000 upate Dola 500,000 ndani ya nusu saa)

MSHAURI MZEE ARUDI BUSH ALIKOZALIWA, ALE MAISHA YAKE YALIOBAKI.

Sent using Jamii Forums mobile app

Umetoa ushauri mzuri sana!!
 
Kwanza, Mwambie aaache hizo akili za kutegemea hela ambayo haipo mfukoni mwake mkuu. It's to risk.

Pili, kwanini hakujenga miaka hiyo yote anataka kujenga sasa akiwa mzee?

Tatu, anunue tu nyumba maana akisema ajenge itakula kwake kwa sababu hakuna anayejua kesho yake mfano wakati wa kujenga anaumwa ugonjwa ambao unahitaji pesa nyingi huoni itabidi achukue ile ile iliyopo kwenye bajeti ya ujenzi? akishaitumia atapata wapi ya kuendeleza
 
Anunue nyumba kujenga atajikuta kaishia njiani VIFAA VYA UJENZI VIMEPANDA MNO HAPA NCHINI KWA SABABU YA KODI ZA JPM
 
Tupe mrejesho mkuu, alishapata mkwanjwa? Na je alijenga au kununua nyumba wengine tunajifunze kupitia waliotangulia
1. Usisubiri mpaka ustaafu ndo uanze kuangaika kutafuta kiwanja
2. Jenga nyumba simpo, kadogo kwa ajili yako weka mazaga yote muhimu yaani simple but complex
3. Unaweza ukaona una hela ya kutosha hivyo ukajenga nyumba kubwa la kufa mtu vyumba vinne, then linaishia kwenye linta mkwanja unakata unabaki kutembelea site kucheki pangala
 
Back
Top Bottom