Kipi bora kati ya kuajiriwa na kujiajiri?

chumanile

JF-Expert Member
May 20, 2018
296
327
Maisha ni mafanikio, haijarishi umeyapata wapi na njia ipi kubwa mambo yaende kwa mtindo unao utaka.

Kira mtu ana namna ya kufikia malengo yake. Binafsi nimewai kuajiriwa, pia nimejiajiri.

Changamoto ni nyingi katika nyanja na lazma ukabiriane nazo.

CHANGAMOTO ZA KUAJIRIWA ni nyingi mno kubwa kutii na kueheshi mamlaka ya muajilia wako.

CHANGAMOTO ZA KUJIAJILI ndo nyingi mno Mara ² ya KUAJIRIWA na usipo kua makini utafeli plani zako pia.

Tuambie kipi bora kwa faida ya wengine ambao nawao wanatamani kuajiriwa au KUJIAJILI ili wapate kujiongoza na waende katika sehemu sahihi.
 
Vyote ni bora.

Unaajiriwa unaweka akiba ambayo utatumia kama mtaji kujiajiri.
 
At the end of the day watu wanafuta FREEDOM. Uhuru wa kuamua kufanya mambo yako bila kuwa na hofu ya pesa itatoka wapi kutimiza mambo yako.

Huwezi kusema “kujiajiri” ni bora zaidi wakati biashara unayofanya haiwezi kulipia bills zako za kila mwezi na wakati huohuo kuna option ya kufanya kazi inayoweza kusolve matatizo yako, ukainvest na bado ukawa na surplus ya kusave.

Kwa kifupi ni bora kufanya vyote kama unaweza.
 
Back
Top Bottom