Kipi bora kati ya hivi pindi uwapo na mpenzi wako?

Ni vyema simu zikawa ziko silent then mka concentrate katika mambo yenu

Mahusiano yanapo kuwa mapya wahusika mnapaswa kuwa makini Sana kuficha tabia ambazo ni hasi hii itasaidia kuweza kutompoteza 1 wenu katika mahusiano hii inapaswa kuanzia kwenye maongezi mpaka vitendo vyenu

unapo act differently Ni rahisi 1 wenu kumuachia maswali mwenzake ataanza kujiuliza mmh hivi fulani ananifaa kweli mbona anatabia hizi na zile ... Ukikutana na mtu faragha Kama una mpenda kweli na unataka aendelee kubaki ktk Maisha yako make sure una mfanyia mambo ambayo yatamfanya atamani Tena na Tena kuonana na wewe
Una hekima sana mkuu kribu snaa siku nyingine
 
Back
Top Bottom