Kipi bora kati ya haya....

SKOMBA

Member
Jan 3, 2012
13
2
Hivi wana JF ni bora kuwa na girl au boy friend ambaye umempenda sana zaidi ya anavyokupenda au inabidi yeye akupende sana wewe zaidi ya unavyompenda? Jimwagemwage hapo....
 
Bora asinipende, mana naogopa kukwera....Hawa wanawake wana wivu sana.
 
Anipende na mimi nimpende ndio hata Mungu anataka hvyo.
 
Swali lako si jepesi na fupi kama thread yako ilivyo fupi.
Upana wa hii maneno umetawaliwa na utata wa suala lenyewe, na hasa kutokana na vigezo vifuatavyo ;-
* Penzi halionekani (invisible untranceparency) * Haligusiki (untourchable).
* Halipimiki
Shortly ni kitu kinachokaa ndani ya nafsi ya muhusika.
Binadamu anaweza akaonekana ana makeke sana ya kupenda kumbe ana'act (anaigiza) na mwingine aweza asiwe na makeke katika kupenda akawa ndiyo yuko serious mpendaji.
Hivyo mie nakosa jibu sahihi katika mada hii.
 
Hivi wana JF ni bora kuwa na girl au boy friend ambaye umempenda sana zaidi ya anavyokupenda au inabidi yeye akupende sana wewe zaidi ya unavyompenda? Jimwagemwage hapo....

penzi unalipima kivipi, vile hata ukaweza kujua mnapenda sana au al, au yupo anayempenda mwenzi zaidi ya mwenziwe...........kabla sijamwaga busara zangu humu.........................nielimishe kwanza........
 
Sharti ni Mpende akupendae, ukipenda pasipo pendeka, yako kamba maana utaona wenzako wanakuchukulia kumbe yeye hakutaki na humo katika mipango yake, kama una machozi ya kuonyesha machungu, jaribu kupenda asiyekupenda kama umpendavyo wewe uone cha mtema makuni
 
Back
Top Bottom