Kipeperushi uchwara cha udsm kwenye daily news


KICHAKA

KICHAKA

Member
Joined
Jun 17, 2009
Messages
58
Likes
4
Points
0
KICHAKA

KICHAKA

Member
Joined Jun 17, 2009
58 4 0
Nimeshikwa na kichefuchefu baada ya kuona kipeperushi cha kuadhimisha miaka 50 ya UDSM kikiwa katika daily news la leo. Kidude hiki kisicho na hadhi kimetolewa leo huku jana UDOM ikiwa imezinduliwa. Nina maswali kadhaa, hivi hawa UDSM wanajua hadhi yao inavyoshuka na je, kushuka huku ndio kunawafanya waandae vipeperushi uchwara kabisa kama hiki?
Nadhani wamelewa sifa ama wameshalala hadi hawawezi kuamka tena, lakini kama wanaweza kuamka huu utumbo na uchafu unapaswa kuwa mwisho leo.
 

Forum statistics

Threads 1,237,537
Members 475,534
Posts 29,292,302