TZ-1
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 3,202
- 5,428
Habari wanajamvi, nashukuru Mungu nimeweza kufika hatua ya linta katika Ujenzi wa Nyumba yangu ya makazi.
Ila leo nimejarbu kuanza kushusha hesabu ya UPAUAJI gharama zmekuwa kubwa sana
Bati za GEJi 30 ni tshs 37500- 38000.
Hizo ni bei za bati za kampun kubwa hapa mjini.
Naona gharama kwangu zmekuw kubwa hadi nimeghari kupau mwaka huu naomben ushauri either utaonisaidia kupunguz gharama.
Mbao hesabu yake m2.7.pamoja na bandaring
Bati PC 120 , Tshs m4.3+.
Hapo bado misumari na malipo ya fundi.