mzeewangese
JF-Expert Member
- Feb 11, 2016
- 640
- 495
Habari za jioni Wadau, Wakubwa shikamooni.
Natumaini nipo jukwaa sahihi kabisa kama nimekosea naomba iamishwe jukwaa. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Natumaini kuna watu waliopita kwenye stage hiyo wakafika mbali zaidi.
Kwa kipato cha milioni moja kwa mwezi unawezaje kujipanga ukiwa kama famili yenye members wanne baba mama na watoto. Kuanzia bei ya nyumba ya kupanga. Aina za watoto shule kusoma.
Kipi kifanyike au life style gani itakuwa appropriate kwa kipato hiko. Natumaini kupata ushauri positive kwa ajili ya kusonga mbele zaidi.

- Makazi Dar es Salaam
- Watoto age:1years Mwengine 4years
- Note 1:Wife income haipo kwenye consideration.
- Note 2: Mishindo pembeni ya 1milioni ipo inatokea kwa kutegemea na upepo wa mwezi but fixed ni 1milion per month.