Kipanya yamemshinda, ameshindwa kuvumilia haya yanayoendelea!

Behaviourist

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
39,901
95,404
.
masoudkipanya_CAb4xueDkna.jpg
 
natanani kucheka icho kichwa ila kuna sauti inaniambia 'ukistaajabu picha ya mkuu utayaona ya idriss.'
 
Mimi naona kipanya anamsifia mkuu kwamba kuna jitu la kutisha karibu na mkuu lakini mkuu hatishiki na jitu hilo na badala yake mkuu amerilux kwa kusafisha sikio. Au wewe umemwelewa vp kipanya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Katika hali ya kawaida siyo sahihi! Wewe unaweza kukaa karibu na jitu linalotisha halafu urelax?Kwa mfano unaweza kukaa karibu na mbwa mwenye kichaa halafu urelax?
 
Katika hali ya kawaida siyo sahihi! Wewe unaweza kukaa karibu na jitu linalotisha halafu urelax?Kwa mfano unaweza kukaa karibu na mbwa mwenye kichaa halafu urelax?
Ukimjulia mbinu zake utarilux. Kumbuka kwa majibu ya hivi karibuni ya WHO ni kwamba covid19 siyo uginjwa wa kutoweka kwa haraka kama tulivyotegemea. Utaendelea kuuogopa hadi lini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukimjulia mbinu zake utarilux. Kumbuka kwa majibu ya hivi karibuni ya WHO ni kwamba covid19 siyo uginjwa wa kutoweka kwa haraka kama tulivyotegemea. Utaendelea kuuogopa hadi lini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kitendo cha Covid-19 kuwa ugonjwa wa kutokutoweka hivi karibuni haithibitishi kuwa siyo ugonjwa unaotisha/unaotishia maisha.Kwa hiyo kwa sababu hauondoki hivi karibuni basi ni ugonjwa legelege na kwa hiyo tuupuuze?.Ni kweli kama kuna jitu linalotisha na ukawa na mbinu za kupambana nalo unaweza kurelax, lakini mheshimiwa hajaonyesha wala hana mbinu za kupambana na hilo jitu linalotisha, yaani hatua zinazochukuliwa ni weak kuliko za mataifa mengine yote. Kwa kifupi anawachekea Nyani shambani!
 
Back
Top Bottom