Kipanya: Ubunifu wetu ni 0 hata katika huduma za ndege

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,597
215,272
1563517367611.jpeg
 
Hapa kachemsha,hata kama yupo against na serikali na mashirika yake but hapa kachemsha. Ni irrelevant kabisa. Hata ukipanda Swiss air kutoka Zurich to Paris utaulizwa kama huyo aliepanda Air Tanzania.
 
Kuna watu hawana haya duniani wameinanga eatanzania weee hadi sasa wanaumbuka wamebaki kuokoteza sababu tuu kama huyu fala kipanya.
 
Hapa kachemsha,hata kama yupo against na serikali na mashirika yake but hapa kachemsha. Ni irrelevant kabisa. Hata ukipanda Swiss air kutoka Zurich to Paris utaulizwa kama huyo aliepanda Air Tanzania.
Tena airlines nyingine siku hizi (Europe, kutoka nchi moja kwenda nyingine ndani ya Europe) unapewa juice kwenye ka-glass kadogo kama dawa ya kikohozi. Soda, bia, vitafunwa vyote wanauza. Na hapa sizungumzii hizi low cost airlines!
 
Sasa mbona na wewe unampangia, hii ni biashara yake na ni ubunifu wake
Kuna ishu za msingi kuzungumzia lakini hili kachemka vibaya sana. Biashara sio kuigana , kila mtu na mipango yake na ubunifu wake, unataka nigawe kuku kwani mtaji wa biashara ulinipa wewe? Msijifanye mnajua kila kitu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom