Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

IMG-20181207-WA0004.jpg
 
Mchoraji maarufu wa katuni Masoud Kipanya amechora katuni ambayo inatafsirika kama kejeli kwa rais Magufuli
Katika katuni hiyo anaonekana mtu amezama majini akiacha mkono tu juu huku akisema yupo vizuri

Hii inaweza kutafsiriwa kuwa ni Hali mbaya ya kiuchumi Tanzania iliyonayo hivi sasa huku Rais akisisitiza katika hotuba zake za kila mara kuwa tupo vizuri

Dt5T9mGXgAAK0Rx.jpg
 
Mahaba yako tu hayo kwa kipanya ...... Lakin hakuna uhusiano wowote wa picha na maandishi yako.... Wa Tanzania zaidi ya 20m wenye akili timamu wewe ndio umetafsiri hiyo image na serikali ya Tanzania. Wengi wanaona mtu kazama akionyesha yeye ni mtaalam wa mbiziiii kama nyambiz la ussr
 
Mchoraji maarufu wa katuni Masoud Kipanya amechora katuni ambayo inatafsirika kama kejeli kwa rais Magufuli
Katika katuni hiyo anaonekana mtu amezama majini akiacha mkono tu juu huku akisema yupo vizuri

Hii inaweza kutafsiriwa kuwa ni Hali mbaya ya kiuchumi Tanzania iliyonayo hivi sasa huku Rais akisisitiza katika hotuba zake za kila mara kuwa tupo vizuri

View attachment 960560
Uzuri wa katuni tafsiri unajipa mwenyewe. Unaweza kukuta anamaanisha CMG pia. Kwani eti braza uchumi uko hoi na raisi anasema tuko vizuri?
 
Back
Top Bottom