Katuni za Masoud Kipanya (Special thread)

Sio lazima mlime korosho
Ushauri wangu: kateni hiyo miti ya mikorosho muichome muuze mkaa au kuni. Kupanga ni kuchagua

*MATAGA
 
Mwenye macho na aone.Mwitikio chaguzi serikali vijiji na mitaa ni dalili tu.
IMG-20191012-WA0009.jpeg
 
KujiMWAMBAfy ni neno linalotokana na neno mzizi, MWAMBA. Ambalo lilimaanisha m'babe au mtemi [siyo kama Isike wa Tabora, Bali mwenye nguvu]. Pia mtu ambaye hashindwi, haonewi, hapigwi. Yeye kwa maana nyingine ni mshindi wa kila jambo, hususan yale ya kutumia mabavu.
Nitaleta uzi asili na maana ya huu msimu ambao umeshika kasi ya matumizi hivi sasa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom