KIPANYA: Sijamuelewa kabisa, mnaweza kunisaidia kuelewa?

Fede Masolwa

JF-Expert Member
Oct 26, 2013
528
123
wakuu habar?
mnaweza kunisaidia hii katuni ni nani huyu na kwanini hiwe hivi

kp13122013.jpg



na huyu pia, au ndio wa juu hapo

kp11122013.jpg



SOURCE; Kipanya katuni mwananchi
 
Huyo jamaa anayakalia kiti hata mmpige mawe aachii kwa gharama yoyote mpaka afe
 
wakuu habar?
mnaweza kunisaidia hii katuni ni nani huyu na kwanini hiwe hivi

kp13122013.jpg



na huyu pia, au ndio wa juu hapo

kp11122013.jpg



SOURCE; Kipanya katuni mwananchi

Pale Obama anafunguka na kusema kuwa Mandela alim inspire kuwa hivi tunavyomuona sasa,then kipanya akasema ni vema sifa za mtu apewe akiwa hai,sio akifa

picha ya pili,rangi ya shati inawakilisha chama fulani hapa TZ ambacho kinaona chenyewe ndio kinastahili kile kiti pekee.
 
zile za mbowe kukumbatia kiti na ile ya kuvuka daraja mulimtukana sana Masoud Kipanya.
Chadema bwana kichwa cha mwendawazimu
 
Vijana wa ckuhizi wanatumia sana hisia kutafakari badala ya logic.
"Cdm"
 
Yaani kakufanya uwe unajipiga mapicha nacwatu mbele ya wife au ?!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom