Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,315
- 33,111
Si ananyoa ndevu mimi kwenye ndevu zangu kuna mvi nina zinyoa ndevu zangu kila siku ili nionekane kijana. kumbuka usafi kitu muhimu sana.Ukifanya kazi ya fasihi uwe na kumbukumbu.
Huyo kipanya mkubwa si alianza kufuga ndevu na iweje kwenye baadhi ya matoleo awe nazo na matoleo mengine awe kipara.
kuna kunyoa mkuu kwani ndevu ni mguu ukikata hauoti tena ??Ukifanya kazi ya fasihi uwe na kumbukumbu.
Huyo kipanya mkubwa si alianza kufuga ndevu na iweje kwenye baadhi ya matoleo awe nazo na matoleo mengine awe kipara.
😁😀😁😂😁😀kuna kunyoa mkuu kwani ndevu ni mguu ukikata hauoti tena ??
Mkuu kwan ww haunyoag nywele au ndevuUkifanya kazi ya fasihi uwe na kumbukumbu.
Huyo kipanya mkubwa si alianza kufuga ndevu na iweje kwenye baadhi ya matoleo awe nazo na matoleo mengine awe kipara.
Nani kamwambia nina nywele /ndevu?
Sifa ya kuwa mkubw lazima uwe na nywele au ndevuNani kamwambia nina nywele /ndevu?
si ananyoa! we vipi!Ukifanya kazi ya fasihi uwe na kumbukumbu.
Huyo kipanya mkubwa si alianza kufuga ndevu na iweje kwenye baadhi ya matoleo awe nazo na matoleo mengine awe kipara.
Kwani wewe vipi?si ananyoa! we vipi!