Bitoz JF-Expert Member Aug 27, 2015 30,823 126,536 Dec 21, 2016 #2 Ipo siku jamaa atasahau kuifunga zipu ya suruali na hakuna atakayethubutu kumshtua maana anaogopwa
Zanzibar-ASP JF-Expert Member Nov 28, 2013 10,108 35,062 Dec 21, 2016 #3 Huko tunakoelekea huenda Kipanya akapigwa Ban, hizi facts zake kwenye hizo katuni huwa zinamkera sana 'mtukufu'. Ngoja tusubiri.
Huko tunakoelekea huenda Kipanya akapigwa Ban, hizi facts zake kwenye hizo katuni huwa zinamkera sana 'mtukufu'. Ngoja tusubiri.
BAFA JF-Expert Member Jul 19, 2011 3,059 5,927 Dec 21, 2016 #4 Kipanya ni akili kubwa huwa anlenga pale pale panàpouma
Adolph Jr JF-Expert Member Nov 5, 2016 5,545 8,612 Dec 21, 2016 #8 Ndal-Charcoal muoga huyo....Hongera Kirat a.k.a Kipanya...
Mnyanyunda Member Aug 2, 2016 82 128 Dec 21, 2016 #9 kichomiz said: View attachment 449078 Click to expand... Huyo wa kat ni nani??
Ramark JF-Expert Member May 19, 2015 1,989 1,440 Dec 22, 2016 #11 Ni. Uoga kuanzia katibu kiongoz mpaka mfagizi wa ofisi
Lee JF-Expert Member Jul 31, 2013 43,905 150,191 Dec 22, 2016 #12 Ila kiukweli kipanya namuamini sana huyu jamaa ana uwezo mkubwa ata ukimsikiliza kwenye pb mawingu fm ..kuibua hoja bila kuogopa nampenda
Ila kiukweli kipanya namuamini sana huyu jamaa ana uwezo mkubwa ata ukimsikiliza kwenye pb mawingu fm ..kuibua hoja bila kuogopa nampenda
mjumbe wa bwana JF-Expert Member Sep 19, 2016 5,188 6,011 Dec 22, 2016 #16 huyo panya ataletewa paka mda si mrefu
Domhome JF-Expert Member Jun 28, 2010 3,197 3,930 Dec 22, 2016 #18 Zanzibar-ASP said: Huko tunakoelekea huenda Kipanya akapigwa Ban, hizi facts zake kwenye hizo katuni huwa zinamkera sana 'mtukufu'. Ngoja tusubiri. Click to expand... AFADHALI LIMKUTE HILO KULIKO WAKAM-BEN
Zanzibar-ASP said: Huko tunakoelekea huenda Kipanya akapigwa Ban, hizi facts zake kwenye hizo katuni huwa zinamkera sana 'mtukufu'. Ngoja tusubiri. Click to expand... AFADHALI LIMKUTE HILO KULIKO WAKAM-BEN
Domhome JF-Expert Member Jun 28, 2010 3,197 3,930 Dec 22, 2016 #19 kichomiz said: View attachment 449078 Click to expand... KAMPATIA KWELI KWELI HASA KOTI LAKE...