Kipanya na taswira ya Viongozi wetu kama Taifa

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,947
95,237
Yule bingwa wa michoro ya katuni maarufu hapa nchini Kipanya amekuja na hali halisi ya viongozi wetu mara itokeapo kuna mabadiliko ya kiuongozi.

Hakika kufa ni kufaana, wahenga waliyasema.
Screenshot_20200128-102146.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Laiti ingelikuwa kwamba mkulu anayo ruhusa kumchagua mtu from popote bora awe mtanzania, nadhani hayo maombi yangekuwa makubwa zaidi. Hata kipanya naye angeomba miungu ya kwao
 
Nani asiyetaka ukubwa? Nani hataki ulaji? Nani hataki maslahi mazuri? Nani hataki kuheshimiwa??? Kila mmoja anataka katika nafasi yake!!! Oooooh
God niangalie na mimi ukanipandishe katika nafasi yangu.
Na wote tuseme Ameen! tukiamini nasi Mungu atatuona na kutupandisha panono kwa wakati wake!
 
Back
Top Bottom