Kipanya leo: Uchaguzi Kati ya DHAIFU na DIKTETA, watu wanachagua DIKTETA

Usimutushutumu mchonga kinyago, chambua kinyago kilichopo! usivunje kioo kwa kukuonesha uso wako uliokunjana, sawazisha uso wako.
Kama wote tunavaa suruali cku hizi, si wanaume na si wanawake woote ni wavaa suruali.Sasa utjuaje kuwa huyu ni dune yule ni jike!!!!!!?.
 
Watanzania walio wengi hawajui hata wanachokitaka linapokuja suala la kuchagua viongozi,Ni ushabiki Tu.

Kuna watu hawawezi kugusa huu Uzi kwa sasa.

KIPANYA fanya remix ya hiki kibonzo kikiwa na watu wengi kwa DHAIFU halafu kilete jamvini uone wabongo wanavyotumia vichwa vyao kutenganishia masikio tu.
 
Kati ya wasanii ambao wanafanya kazi zao kwa weledi basi Kipanya ni mmoja wapo.Huyu Jamaa Tangu Mwaka Jana ameamua kuweka background nyeusi(giza) kumaanisha hili ni Taifa la mgao lisilo na suluhisho la kudumu la Nishati ya umeme.Yuko very consistent kwenye fani yake.Atakapojiridhisha kuwa Mgao ni historia(kama ahadi ya JK ilivyo) pengine katuni zake atazichora kwenye plain background

Pia anajua kufikisha ujumbe wake vizuri.Ukosoaji wake kupitia katuni sometimes unaleta logic kuliko hata mwandishi wa zaidi ya kurasa 3 za makala
Ni miaka takriban achore Picha yake 2012 lakini kila MTU leo anaona yanayoendelea
 
Kati ya wasanii ambao wanafanya kazi zao kwa weledi basi Kipanya ni mmoja wapo.Huyu Jamaa Tangu Mwaka Jana ameamua kuweka background nyeusi(giza) kumaanisha hili ni Taifa la mgao lisilo na suluhisho la kudumu la Nishati ya umeme.Yuko very consistent kwenye fani yake.Atakapojiridhisha kuwa Mgao ni historia(kama ahadi ya JK ilivyo) pengine katuni zake atazichora kwenye plain background

Pia anajua kufikisha ujumbe wake vizuri.Ukosoaji wake kupitia katuni sometimes unaleta logic kuliko hata mwandishi wa zaidi ya kurasa 3 za makala
Inasikitisha sana......
Pengine ungekuwepo hapa jukwaani tukukumbushe matamanio yako..
kuona nchi inavyoendesha na dikteta!
Bahati mbaya haupo,hatujui umeenda wapi, u salama au uko kwenye madhila!
Kwenye seli ya chuma chenye giza au kwenye kuta zilizofungwa pande zote!
Wa tz wanapenda kubishana lakini sio kuumizana! mwisho wa siku huja pamoja kukabili matatizo yao ya kijamii.
Labda walikutupa kwenye maji,au kondeni kwenye tai na fisi!
Huu sio utamaduni wetu,kamwe hauwezi kuwa utamaduni wetu,
Utamaduni wetu ni kustahimiliana,kuonyeshana mapungufu kisha tunakunywa na kula pamoja.
Ni kweli, mtu huwezi jua mapungufu kabla ya kuwa na cha kulinganisha!
Ni kweli wengi tuliona kama 'udhaifu' kwa kuwa hatukuwahi kutafsiri maana sahihi ya udhaifu!
Busara iliyoshiba,ujalifu uliopitiliza ya baba wa nyumba tukatafsiri ndivyo sivyo!

Pole mkuu umekuwa mhanga wa matamanio!
 
Ina maana Ben ndio amepotezwa mazima???? Ben apatikane akiwa hajadhurika!!!!

Sweety,

Acha hasira!

Pengine hawakujitokeza kupiga kura.na ndiyo wangeelekea kwenye upande mwingine dhaifu(wengi wao walituchagulia huyu dhaifu tuliye naye) .....(i'm kidding)
 
Kipanya Hapo amemaanisha kuwa watanzania tulimchoka raisi aliyetajwa kuwa dhaifu na wapinzani kutaka raisi ambaye atanyoosha nchi na wakasema kuwa nchi ilipofikia anatakiwa raisi dikteta mkali in kikwete ndio maana Wengi wakapanga mstari na kumchagua pia kuna kelele kuwa raisi wetu anachokifanya ni "udikteta" wananchi waelewa na wanaothamini Kazi za raisi wetu 2020 watajipanga msatari mamia kwa mamia kumpigia Huyo ambao wengine wanamwita dikteta kwa wapanga mstari pichani wanamwona Mkombozi aliyesubiriwa miaka na miaka
 
Nakumbuka kuna siku huyu Kipanya alitoa katuni iliyowakebehi Magwandaa kwa kukiita chama chao CHADUMAA. Loooh salaaaa! Hayo matusi aliyovurumishiwa yanafika hata kilo billioni moja. Leo amewakebehi Magambaa, hizo sifa zake sasa.
Unafikiri Mungu aliweka ubongo kichwani kujaza matobo!?
 
Kati ya wasanii ambao wanafanya kazi zao kwa weledi basi Kipanya ni mmoja wapo.Huyu Jamaa Tangu Mwaka Jana ameamua kuweka background nyeusi(giza) kumaanisha hili ni Taifa la mgao lisilo na suluhisho la kudumu la Nishati ya umeme.Yuko very consistent kwenye fani yake.Atakapojiridhisha kuwa Mgao ni historia(kama ahadi ya JK ilivyo) pengine katuni zake atazichora kwenye plain background

Pia anajua kufikisha ujumbe wake vizuri.Ukosoaji wake kupitia katuni sometimes unaleta logic kuliko hata mwandishi wa zaidi ya kurasa 3 za makala
Uko wapi Brother! watanzania tumekumiss sana, tumeacha kutengeneza [HASHTAG]#hashtag[/HASHTAG] za social medias, ili tuweze kukupata, sasa hivi kila mtu yupo busy na vyeti fulani vya kiongozi mmoja, hapo ulipo tujuze tujue ulipo walau wengine tuwe na Amani.
 
Kwa mujibu wa uelewa wangu katika hii katuni,ni kwamba watz wengi wameanza kumkumbuka mzee Mkapa ambay amekuwa akitazamwa kama Dikteta.Na hivi juzi Jk kaitwa Dhaifu.Watz wanasema ni heri enzi za mkapa mfumuko wa bei ulikuwa ahueni,maendelo ya nchi yalionekana,madeni ilitamkwa kupungua na nchi ilikuwa na uwezo wa kutoa tamko hata kwa nchi bepari.Lakini Kijana dhaifu (na ataendelea kuitwa kijana tokana na tabia zake) yeye kazi yake kuomba omba barabarani na kujichekesha chekesha tu mbele za watu.

Dua yako imekubaliwa na sasa tumepata Chuma toka Chatto!

Hongera zako
 
Back
Top Bottom