Kipanya leo: Uchaguzi Kati ya DHAIFU na DIKTETA, watu wanachagua DIKTETA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kipanya leo: Uchaguzi Kati ya DHAIFU na DIKTETA, watu wanachagua DIKTETA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Plato, Jun 23, 2012.

 1. Plato

  Plato JF-Expert Member

  #1
  Jun 23, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 421
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 33
  hUREEE,Kipanya hata ukatibu wa kijiji hapewiii.

  SAM_2931.JPG
   
 2. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #2
  Jun 23, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Kipanya ni M4c
   
 3. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #3
  Jun 23, 2012
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,694
  Trophy Points: 280
  Kati ya wasanii ambao wanafanya kazi zao kwa weledi basi Kipanya ni mmoja wapo.Huyu Jamaa Tangu Mwaka Jana ameamua kuweka background nyeusi(giza) kumaanisha hili ni Taifa la mgao lisilo na suluhisho la kudumu la Nishati ya umeme.Yuko very consistent kwenye fani yake.Atakapojiridhisha kuwa Mgao ni historia(kama ahadi ya JK ilivyo) pengine katuni zake atazichora kwenye plain background

  Pia anajua kufikisha ujumbe wake vizuri.Ukosoaji wake kupitia katuni sometimes unaleta logic kuliko hata mwandishi wa zaidi ya kurasa 3 za makala
   
 4. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #4
  Jun 23, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,216
  Likes Received: 10,583
  Trophy Points: 280
  I loooove it mazee.
   
 5. fige

  fige JF-Expert Member

  #5
  Jun 23, 2012
  Joined: Jul 4, 2010
  Messages: 376
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni kweli kabisa
   
 6. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #6
  Jun 23, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ur ryt babuuu
   
 7. Insurgent

  Insurgent JF-Expert Member

  #7
  Jun 23, 2012
  Joined: Jun 26, 2007
  Messages: 469
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kipanya ameonyesha vizuri jinsi WATZ tulivyo wajinga. Udikteta tunaujua kweli?! Au tunaona demokrasia ghali?
   
 8. Nzenzu

  Nzenzu JF-Expert Member

  #8
  Jun 23, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 859
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hii ni special kwake mwenyewe (Masoud). HAPPY BIRTHDAY KIPANYA!
   
 9. Radhia Sweety

  Radhia Sweety JF-Expert Member

  #9
  Jun 23, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 4,448
  Likes Received: 346
  Trophy Points: 180
  Mbona wapiga kura wenyewe wote ni wanaume? Au hii nchi haina wanawake? Mpuuzi sana we Kipanya.
   
 10. B

  Bhavick JF-Expert Member

  #10
  Jun 23, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 314
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
   
 11. Gwalihenzi

  Gwalihenzi JF-Expert Member

  #11
  Jun 23, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 5,117
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Usimutushutumu mchonga kinyago, chambua kinyago kilichopo! usivunje kioo kwa kukuonesha uso wako uliokunjana, sawazisha uso wako.
   
 12. N

  Nelson Mmari Member

  #12
  Jun 23, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Dada kula mboga za majani mbona nawaona wanawake wengi
  Withdraw hilo tusi
   
 13. J

  John W. Mlacha Verified User

  #13
  Jun 23, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 540
  Trophy Points: 280

  Radhia Sweety hujambo dada yangu. Hapo wanawake wameshapiga kura kwa Dhaifu wameondoka zao
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. webondo

  webondo JF-Expert Member

  #14
  Jun 23, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 1,724
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 160
  Namkubali sana huyu jamaa (Kipanya)
   
 15. Kwetu Iringa

  Kwetu Iringa JF-Expert Member

  #15
  Jun 23, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 359
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Kwa hapa tulipofikishwa na ccm, kweli tanzania tunahitaji rais dikteta kidogo kama Kagame siyo dhaifu kama JK
   
 16. Radhia Sweety

  Radhia Sweety JF-Expert Member

  #16
  Jun 23, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 4,448
  Likes Received: 346
  Trophy Points: 180
  Nakumbuka kuna siku huyu Kipanya alitoa katuni iliyowakebehi Magwandaa kwa kukiita chama chao CHADUMAA. Loooh salaaaa! Hayo matusi aliyovurumishiwa yanafika hata kilo billioni moja. Leo amewakebehi Magambaa, hizo sifa zake sasa.
   
 17. G

  GTesha JF-Expert Member

  #17
  Jun 23, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 203
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Namkubali sana KP
   
 18. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #18
  Jun 23, 2012
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,694
  Trophy Points: 280
  Sweety,

  Acha hasira!

  Pengine hawakujitokeza kupiga kura.na ndiyo wangeelekea kwenye upande mwingine dhaifu(wengi wao walituchagulia huyu dhaifu tuliye naye) .....(i'm kidding)
   
 19. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #19
  Jun 23, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 12,030
  Likes Received: 2,677
  Trophy Points: 280
  Swali dhaifu kama chama dhaifu.
   
 20. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #20
  Jun 23, 2012
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,483
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  CHADUMAA ni WAPUUZI
   
Loading...