Lordrank
JF-Expert Member
- Apr 16, 2020
- 453
- 248
MKUU unamaanisha hakuna haja ya kupiga kampeni!?, hakuna ya uchaguzi kuwepo!?, Uncle Pombe Magu apewe tu nchi pasipo uchaguzi kufanyika maana umesema mshindi anajulikana, Oops unaweza kueleza kidogo dhamira yako please.Ni kweli ni ngumu kumsoma, mimi nimeona tumezunguuka ili kwenda kupiga kura ya ‘ndiyo’ Dodoma alafu tunazunguuka kufanya kampeni wakati mshindi anajulikana.