vipik2 JF-Expert Member Nov 24, 2011 2,803 2,185 Jul 16, 2019 #2 Mbona mmoja anaenda nje ya Chettle na mwingine anarudi Chato? kweli hapo safari ipo?
HIMARS JF-Expert Member Jan 23, 2012 69,363 94,543 Jul 16, 2019 #3 Ndo maana Kipanya anasema katuni zake kila mtu ana maana yake Mi sijaielewa kabisa ila naona kutoa na kujumlisha zote hazisomi
Ndo maana Kipanya anasema katuni zake kila mtu ana maana yake Mi sijaielewa kabisa ila naona kutoa na kujumlisha zote hazisomi
Sky Eclat JF-Expert Member Oct 17, 2012 57,595 215,272 Jul 16, 2019 Thread starter #4 Anaetoka ni Uhuru akiwa anatafakari waliyoongea. Anaingia Museveni.
Black Sniper JF-Expert Member Dec 10, 2013 28,458 45,750 Jul 16, 2019 #6 Huko ni kukejeli elimu yetu Yaani hata uweke shule gani ni bure
Jephta2003 JF-Expert Member Feb 27, 2008 6,501 6,200 Jul 16, 2019 #7 Root said: Ndo maana Kipanya anasema katuni zake kila mtu ana maana yake Mi sijaielewa kabisa ila naona kutoa na kujumlisha zote hazisomi Click to expand... KENYATTA na MSEVENI wanapishana kwenda chato alafu kenyata kachanganyikiwa na alichokiona
Root said: Ndo maana Kipanya anasema katuni zake kila mtu ana maana yake Mi sijaielewa kabisa ila naona kutoa na kujumlisha zote hazisomi Click to expand... KENYATTA na MSEVENI wanapishana kwenda chato alafu kenyata kachanganyikiwa na alichokiona