Capt Tamar
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 11,733
- 14,627
Magufuli kayatoa hayo mahindi shambani kwake? Eti hata ndege kanunua magufuli! Halafu tunalazimishwa kushangilia!! Na mimi niliamua tu kushangilia! Nisameheni!Makabidhiano ya msaada yaliyofanyika leo Karonga Malawi mkuu wa wilaya ya Kyela Tanzania ametamka wazi kuwa ni msaada toka kwa Rais Magufuli, hii ni kwa mujibu wa taarifa ya habari ya saa mbili usiku ITV; Kama kuna wananchi wanaotaka kutoa msaada haijakatazwa.