Kipanya kanichana mbavu zangu usiku huu kwa katuni zake. Check hii hapa

Aug 14, 2014
67
7
Jamani Hasheem Rungwe anachukuliwa poa
 

Attachments

  • 1445718460065.jpg
    1445718460065.jpg
    19.8 KB · Views: 6,339
Kama itakuwa kura za Lowasa /Magufuli hazitatosha ni vyama gani vitajiunga na wakubwa hawa wawili kutengeneza serikali ya NSETO
 
Kampeni zake zimejaa ahadi wakati mwingine utekelezaji wake ni mdogo aliahidi huko Tabora sijui sehemu gani ila watu wa hapo walikuwa na shida ya maji na kuwaambia ataleta maji kwa Ndege wakimchagua!Huyo ndio Uncle Hashim!
 
Back
Top Bottom