Tanzania kama ulaya
Member
- Aug 14, 2014
- 67
- 7
Hahahaaa!? Huyo bwana anakuambia yeye kipao mbele chake ni CHAKULA

Watu wanazungumzia kujengamadaraja wakati watu wana njaa...kwani watu watakula madaraja...watu wana njaa...kweli si kweli....???? WATU: Kweliiiiiii....