Fursa Pesa
JF-Expert Member
- May 30, 2012
- 4,433
- 3,254
Yawezekana kilikuwa tayari kimekomaa ndani ya yai ndio maana yai limepasuka kwa force kubwa na chenyewe kuruka kwa kasi angani.Yaani kimetotolewa leo leo na leo leo kikapaa
Yawezekana kilikuwa tayari kimekomaa ndani ya yai ndio maana yai limepasuka kwa force kubwa na chenyewe kuruka kwa kasi angani.Yaani kimetotolewa leo leo na leo leo kikapaa
Hahahahaha nimesema zinazidi yeye yuko juu mkuuHalafu wewe kijana acha uzwazwa. Utamlinganishaje huyu dada na vitu vya kijingajinga?
Kweli mkuuYawezekana kilikuwa tayari kimekomaa ndani ya yai ndio maana yai limepasuka kwa force kubwa na chenyewe kuruka kwa kazi angani.
Kumbe mataga yapogo hata humuWatu wanamwoga kipanya ati ana akili kwenye uchoraji wake kumbe ni mswahili moja asiyejitambua
Anachora vitu vya hovyo kuwafurahisha ndugu zake
Acha uongo, hakukiri bali alidanganyaHata Ibrahim alikiri kuwa Sarah ni dada yake ili kuokoa uhai wake.
Nitoe maana ya nini kama ushaelewa unaleta mambo ya darasa la pili bToa maana ya mataga kabla sijakujibu
Nitoe maana ya nini kama ushaelewa unaleta mambo ya darasa la pili b
Sent using Jamii Forums mobile app
Usijilinganishe na Kipanya, wewe unavyoandika vitu vya hovyo hovyo ili upate bk7
Mkuu hyo ni sanaa tu haijalishi mapokeo yakeWatu wanamwoga kipanya ati ana akili kwenye uchoraji wake kumbe ni mswahili moja asiyejitambua
Anachora vitu vya hovyo kuwafurahisha ndugu zake
Nakupa likeHata Ibrahim alikiri kuwa Sarah ni dada yake ili kuokoa uhai wake.
Watu wanamwoga kipanya ati ana akili kwenye uchoraji wake kumbe ni mswahili moja asiyejitambua
Anachora vitu vya hovyo kuwafurahisha ndugu zake
Huu mchezo hauhitaji hasira mzee jibu hoja acha matusiUsijaunizoea mimi sio boss wako mdee
😂😍😍😍Nitoe maana ya nini kama ushaelewa unaleta mambo ya darasa la pili b
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiweza kuandika vizuri ndio uje kunijibu sawaUsijaunizoea mimi sio boss wako mdee
Wewe unajuaje kama ni kweli au si kweli?Hata Ibrahim alikiri kuwa Sarah ni dada yake ili kuokoa uhai wake.
Pitia tena huu uzi uone hasa ni upande upi unajibu matusiHuu mchezo hauhitaji hasira mzee jibu hoja acha matusi