Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,059
Kipanya akiongea kuhusu uhuru wa habari amesema kuwa uhuru wa habari Tanzania hakuna amesema amekuwa akipata wakati mgumu sana kutokana na katuni anazochora kwa kuwa wahariri wa gazeti la Mwananchi wanapewa wakati mgumu na watu walio karibu na rais na wao kumpa wakati mgumu
Amesema habari ni zile ambazo hazitakiwi kuandikwa na mamalaka au zile habari mbaya, nyingine zinazoandikwa ni PR
Pia mkurugenzi wa JamiiForums, Maxence Melo amesema Tanzania kushuka kwa nafasi 12 duniani kwenye uhuru wa vyombo vya habari ni picha mbaya kwa nchi na moja ya kilichochangia ni sheria ya makosa ya mtandao na ikiendelea hivi Tanzania itaendelea kushuka, ametaka mamlaka ziwaelewe kuwa hawana nia mbaya na nchi bali kuwapa habari na uhuru wa kujieleza