Kipanya hakika wewe ni burudani tosha

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,918
95,201
Mwana katuni maarufu amekuja na kitendawili kipya kwangu binafsi nimetoka kapa kujua nini anamaanisha.

Mwenye ujuzi na habari picha tafadhali atusaidie.

Screenshot_20191022-154221.jpeg
 
Computer za ufipa itakuwa. Ukibisha basi usiulize tena sababu una jibu lako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom