Kipanya anastahili Tunzo Ya Heshima,Vibonzo vyake Ni Elimu Tosha

Kibo10

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,277
8,850
Tanzania wapo wachora vibonzo wengi ila huyu Masudi Kipanya ni moja kati ya wasanii wa karne.
Cha kushangaza hapewi tunzo kwa kazi nzuri na zamafundisho.Kipanya amekuwa akichora vibonzo vya kuikosoa serekali pale inapochemka,Kifupi jumbe zake ni dawa kwa watawala.Ifike mahala mchongo wa Kipanya uthaminiwe na kuenziwa.
Au ni kwa sababu awalambi miguu wafalme?
Ni muda muafaka sasa Kipanya apewe heshima kwa kazi nzuri za kuikosoa serekali pale inapojisahau.Leo kipanya kwa mlango wa uwani kawakumbusha Ccm Lowassa yupo njiani anakuja kwa speed warekebishe gari lao fasta,La sivyo atawapita muda si mwingi.Saluti Kipanya.Mkuu kipanya unastahili kutunzwa,Ungezaliwa ulaya kabati lako lisingejaa nguo"Hapana,ni tunzo tupu tena zenyeheshima.
 
Ni mbunifu sana

upload_2016-1-20_13-22-30.png


upload_2016-1-20_13-23-26.png




upload_2016-1-20_13-24-59.png
 
Yaani aiponde serikali halafu hiyo hiyo impe tuzo?

Kwa nini Ukawa wasimpe tuzo?
 
Back
Top Bottom