Kipanya ana ujumbe gani leo?

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,595
215,272
1601008315818.png
 
Zambarau aliyevaa suti anataka kutoswa mguu ukinyanyuliwa...
Mgombea wa ACT ameshauriwa amuunge mkono mgombea wa Chadema lakini bado anadai yeye ni mgombea urais.

Viongozi wa chama wanambeba kwa kukanyaga huo ubao lakini nge akifikia mguu mgombea wa ACT anatoswa.
 
Habari...!
Hapa huyu KP ana maanisha nini?
Huyu aliyekanyaga Banzi ni nani? Aliyesimama juu ya banzi ni nani na haka ka Nge vipi?
3B43A945-445F-4461-99A5-3CCD89947338.jpeg
 
Member anabishana na wenye chama ambao ndio waliomsimamisha kugombea
 
Kuna watu wawili mmoja mwenye-size ndogo amevaa rangi zambarau (ACT) ..mwingine ni rangi zambarau yenye kijani (ACT-CCM) amemshikilia huyo mwenye zambarau full
Tafsiri :
Kuna ACT wenyewe ambao kupiga kwao kampeni kuna mtegemea mfadhili ambaye ni mixture CCM na AcT (MEMBE) tena wanaomtegemea sana ni ambao hawako main- land
Hivyo huyu membe aking’atwa na Ng’e akatoa mguu wake Act kwisha habari yake
 
Nge ni nani?
 
Mgombea Urais wanashirikiana nae ndio maana wanaendelea kumsupport, ila kuna maadui (Nge) ambao muda wowote watawadhuru wanaomsupport Mgombea Urais huyu, so at any time watamtosa na kutumbukia Korongoni iwapo maadui hao watazidisha nguvu. Na huo ndio utakuwa mwisho wake kwani hakuna atakayemtoa shimoni.
 
Aliyevaa suti ya zambarau ni membe huku aliyekanyaga ubao kumsitiri ni zito kabwe huku nge/Maalim seif na wapenda mabadiliko ya kweli wakiona kama zito anachelewa kuchomoa betri sababu membe anaonekana kutokueleweka mpaka sasa.

Hayo ni maoni yangu binafsi
 
Kuna watu wawili mmoja mwenye-size ndogo amevaa rangi zambarau (ACT) ..mwingine ni rangi zambarau yenye kijani (ACT-CCM) amemshikilia huyo mwenye zambarau full
Tafsiri :
Kuna ACT wenyewe ambao kupiga kwao kampeni kuna mtegemea mfadhili ambaye ni mixture CCM na AcT (MEMBE) tena wanaomtegemea sana ni ambao hawako main- land
Hivyo huyu membe aking’atwa na Ng’e akatoa mguu wake Act kwisha habari yake
Mmhh!!!,sawa lkn km si sawa hivi?!!!,Kwasababu Kule Zanzibar Maalim Seif anajitosheleza sana hahitaji sapoti ya Membe.Hebu rudia tena tafsiri yako.
 
Maalim Seif hajitoshelezi alikua anatefemea Ruzuku ya Cuf sasa hivi haipo na ukumbuke huyu bwana ni mwanasiasa si mfanyabiashara
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom