Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

Johnny Sack

JF-Expert Member
Jan 21, 2017
8,725
18,620
Aliagizwa aende kutumia lugha ya matumaini? akimaanisha hatukuambiwa uhalisia au inakuaje?

DM4bj0KWAAIaYjV.jpg
 
Haiingii akilini wewe mwenye hisa 16% ugawane sawa kwa sawa na mwenye hisa asilimia 84%. Tatizo la wasomi wetu Tanzania ndio hilo, ni wanafiki wakubwa. Wangeeleza wazi hizo ni economic benefits na ni Implicity. Yaaani maana yake they are by implication but not financially kwamba tunapewa asilimia hamsini. hamna kitu kama hicho duniani. Sasa sijui lengo lilikua ni nini kudanganya watanzania. Hii nchi kuna mengi yamejificha aisee,
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom