Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

Mchoraji maarufu wa katuni Masoud Kipanya amechora katuni ambayo inatafsirika kama kejeli kwa rais Magufuli
Katika katuni hiyo anaonekana mtu amezama majini akiacha mkono tu juu huku akisema yupo vizuri

Hii inaweza kutafsiriwa kuwa ni Hali mbaya ya kiuchumi Tanzania iliyonayo hivi sasa huku Rais akisisitiza katika hotuba zake za kila mara kuwa tupo vizuri

View attachment 960560
Masoud hana akili ni mirembe
 
Inachekesha, inakufanya ujitafakari, mimi nafikiri ni kwa ajiri ya kila mtu ajitafakari, vipi naelekea wapi? Nipo wapi? Naendelea kuzama au mambo yametuia.
 
Mchoraji maarufu wa katuni Masoud Kipanya amechora katuni ambayo inatafsirika kama kejeli kwa rais Magufuli
Katika katuni hiyo anaonekana mtu amezama majini akiacha mkono tu juu huku akisema yupo vizuri

Hii inaweza kutafsiriwa kuwa ni Hali mbaya ya kiuchumi Tanzania iliyonayo hivi sasa huku Rais akisisitiza katika hotuba zake za kila mara kuwa tupo vizuri

Huo ni mtazamo wako, na mimi jirani yake Masoud nimetafsiri kuwa ananifikishia ujumbe kuwa maisha yangu hayapo kama zamani japo jana tu nimeongea naye nikamwambia nipo vizuri na familia yangu, lakini aliniona kabisa nina mapungufu si kama zamani
 
Mchoraji maarufu wa katuni Masoud Kipanya amechora katuni ambayo inatafsirika kama kejeli kwa rais Magufuli
Katika katuni hiyo anaonekana mtu amezama majini akiacha mkono tu juu huku akisema yupo vizuri

Hii inaweza kutafsiriwa kuwa ni Hali mbaya ya kiuchumi Tanzania iliyonayo hivi sasa huku Rais akisisitiza katika hotuba zake za kila mara kuwa tupo vizuri

View attachment 960560
Acha 'uchawi' mkuu!
 
Is it necessary kila jambo lihusishwe na Siasa, tena siasa chafu za kinafiki?! Worse enough you just confirmed mambo si mambo!

Next time just enjoy the cartoon, then flip to the next page, kuchukulia mavitu personal all the time ni kutengeneza sumu ndani yako mwenyewe ambayo kwa vyovyote vile at one time lazima ikurudie na kukumaliza wewe na "vyako" to the very last bit!
 
Mahaba yako tu hayo kwa kipanya ...... Lakin hakuna uhusiano wowote wa picha na maandishi yako.... Wa Tanzania zaidi ya 20m wenye akili timamu wewe ndio umetafsiri hiyo image na serikali ya Tanzania. Wengi wanaona mtu kazama akionyesha yeye ni mtaalam wa mbiziiii kama nyambiz la ussr
Hizi ni tafsiri za kijani
 
Tafsiri yako! Hiyo ni kazi ya fasihi mwingine atatafsiri vingine!!

Kizazi hiki kimelaaniwa, mtu mzima anakuwa na akili za kitoto kwenda kusema kwa mama au baba! Hata kama kujipendekeza huku kumepitiliza, jitambue ndugu
 
Kwanza,
Tuthibitishie kua Hali ya uchumi nchini ni mbaya.

Nijuavyo mimi

"hali yetu ya kiuchumi iko vizuri mno, tuko among top 10 fastest growing economy in Africa"

Mtoa mada wee ni mchochezi
 
meangalia katuni haina UHUSIANO wowote na SIASaa....hata katika mahusiano ya kimapenzi waweza sema nipo sawa kumbe unajilazimisha/walazimisha jamboo...katika familia tupo sawa (kumbe yapo matatizo nyumbanii), shuleni wanafunzi mmeelewa wanajibu NDIOooo wakipewa mtihani wanalaumuu/wanafeliii... KILA MTU na TAFSIRI yakeee

Mwanzisha mada ndo mchokoziii

BIG UPuuuuuuuuuuuu.... Kaka Kipanyaaaa
 
Mahaba yako tu hayo kwa kipanya ...... Lakin hakuna uhusiano wowote wa picha na maandishi yako.... Wa Tanzania zaidi ya 20m wenye akili timamu wewe ndio umetafsiri hiyo image na serikali ya Tanzania. Wengi wanaona mtu kazama akionyesha yeye ni mtaalam wa mbiziiii kama nyambiz la ussr
You really don't think beyond bro...
 
Back
Top Bottom