Kipanya aibuka na hali halisi ndani ya CCM

Kila kitu mkishindwa ni JPM,miezi minne sasa hayupo mnazunguka tu JPM hiki mara kile.

Sasa nyie wenye akili si mlete maendeleo yaonekane.au mnadhani ni rahisi hivyo?

Uongozi ni kazi ya lawama,mama kashawachoka.

Kila kosa JPM,mtaitana na bado.
 
Pia kuna madeni mengi tusiyo yajua, tuliambiwa miradi inajengwa kwa pesa ya ndani ilhali ilikuwa ni mikopo ya siri. Sasa tunalazimishwa kuilipa.
Kipi bora,miradi inayoonekana au miradi hewa?kama miradi ilitekelezwa shida nini?
 
Uwa wanajinasibu Majukwaani, oooh hii Nchi tajiri sana ina raslimali za kutosha.
Hivi kweli Nchi yenye raslimali za kutosha ikahangaike kuwakamua Wananchi wake kwenye tozo .

Eti zitawekwa kwenye mfuko maalumu,hapo ndiyo utaona CCM uwezo wao wa kufikiri umefika mwisho.
 
Pia kuna madeni mengi tusiyo yajua, tuliambiwa miradi inajengwa kwa pesa ya ndani ilhali ilikuwa ni mikopo ya siri. Sasa tunalazimishwa kuilipa.
CCM wameoza wananuka! Hatuna sababu yoyote ya kuendelea kuwa nao hawa majambazi. Kwa useng€ wote wameifanyia tz kuanzia 1961 mpaka 2021 inatosha sasa
 
Tungeridhika kama kungekua na transparency of information katika manunuzi na utekelezaji. Mfano tu manunuzi ya ndege.
Very good,sasa huoni kumbe ndege zilinunuliwa na pesa zetu tunajivunia tunazo sio mbaya as kipindi cha JK watu walizitaka sana hata humu ,
Unajua vizuri sana corona imeangusha sana biashara ya ndege,na Mashirika mengi yalihesabu hasara.sasa Magu alijua corona inakuja?naamini alinunua kwa nia njema.
So kuimba JPM hiki mara kile huoni ni kukosa vision?
 
Kweli msanii ni kioo cha jamii.
Msanii Kipanya ameibuka na katuni tatanishi.

Hiyo hapo chini naomba kwa wajuzi wa hizi lugha naomba tuisome na tupeane chakula ya ubongo. View attachment 1871203
instagram(3).jpg
 
Kweli msanii ni kioo cha jamii.
Msanii Kipanya ameibuka na katuni tatanishi.

Hiyo hapo chini naomba kwa wajuzi wa hizi lugha naomba tuisome na tupeane chakula ya ubongo. View attachment 1871203
Maaanake uchumi wa Kati ni maigizo tu,sasa ni mwendo wa kukopa tu,unakopa hapa kujenga standard gauge,zinaishia,unataka kujenga balabala,mapato hayatoshi,unakopa Tena kwenye muhamara Ili mambo yaende
 
Back
Top Bottom