Kipanga mlakuku ametumwa ? sitaki mashindao na mtu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kipanga mlakuku ametumwa ? sitaki mashindao na mtu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KAMBOTA, Jun 12, 2011.

 1. K

  KAMBOTA Senior Member

  #1
  Jun 12, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 176
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Ndugu wanajf nimeshtushwa na taarifa za kipuuzi zilizoandikwa hapa kusiana na michuzi na mtu mwenye jin l kipanga mlakuku kwanza natoa shukrani zangu kwa moderator kifuta post hiyo na jibu langu kwa huyo mamluki aliyeweka hiyo post ni hili.....

  Kwanza wewe sijui kipanga mlakuku yaelekea umejiunga humu juzi tu...mimi ndiye huyo Nova Kambota uliyenitaja , naomba nikwambie kitu kimoja mimi sikuanzisha hiyo blog yangu kushindana na Issa Michuzi wala nani? nimeanzisha ili niandike habari mbalimbali na pili sihitaji promotion yako wala ya baba yako naomba uniache kama nilivyo kwa maana blog yangu nilianzisha mwenyewe na naiendesha mwenyewe sihitaji msaada wako kama unataka kupiga promotion au umbeya wako anzisha yako kisha ndiyo ufanye promotion yako sawa ndugu?
   
 2. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #2
  Jun 12, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0

  Sasa hii nayo ni siasa!!!!!!!. Watanzania bana everythig is politics. Ndio maana hatuendelei. Yaani maamuzi mepesi tu ya kuamua uzi huu ukae wapi yanakushinda sasa hata hizo analysis za kitaifa unazifanyaje?
   
 3. chipanga

  chipanga JF-Expert Member

  #3
  Jun 12, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 661
  Likes Received: 141
  Trophy Points: 60
  ..taratibu mkuu! Punguza jazba!! ..hakujua km we huhitaji promo!
   
Loading...