Kipande cha Kibaha - Mlandizi bonge la foleni usiku huu

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,108
18,325
Kutoka field inaelezwa kuwa kipande cha Kibaha hadi Mlandizi magari ni kama yapo parking, bonge la foleni

Alternative:
Wanaotoka Dar kwenye kaskazini piteni Bagamoyo.

Hata wanaokwenda Nyanda za Juu toka Dar piteni Bagamoyo.

Inasemekana kuna Scania imeharibika maeneo ya Kongowe na imeziba njia.

Mimi tuu tabutupu kukuletea habari.

20200620_122809.jpeg
 
Nikweli kuna foleni matata sana siku ya leo, japo ijumaa huwa kuna kamba ila huisha mapema. Niko ndani hapa nasikia magari yanaminywa break tu hayasogei. Sema madereva watachelewa kupata taarifa maana hawaingii jf, abiria wasaidieni ambao hamjafika eneo la tukio maana kuingia ni rahisi, kutoka majanga.
 
Back
Top Bottom