Kipande cha Almasi chashindikana kuuzwa

Rapherl

JF-Expert Member
Jun 20, 2012
3,504
2,254
Kipande cha almasi cha pili kwa ukubwa duniani kimeshindikana kuuzwa katika mnada uliofanyika mjini London hapo jana, baada ya wazabuni waliohudhuria kutoimudu bei iliyopangwa.
Kipande hicho cha almasi kina ukubwa wa mpira wa tenisi, na kinakadiriwa kufika miaka milioni 70. Lesedi la Rona ambalo ndio jina la alamsi hiyo, ilichimbwa Botswana. Bei rasmi iliyopigiwa mnada ilikuwa ni dola milioni 70.
uploadfromtaptalk1467279457370.jpg
 
Ingekuwa imetoka tanzania hicho kipande kingeuzwa hata $mln 10 alafu cha juu wangechkua vigogo wa tz....
Nasikia mkuu mlimpiga mkaburu Tanzanite mkazunguka Arusha nzima hakuna wa kulinunua mpaka yule mkaburu akapata taarifa ha ha ha ha hatare sana cjui mliliuza bei gani atlast
 
najua kwmba maganzo zpo za kutosha bt nlikua nahtaj address ya huyo mzee tufanye biadhara
Lazima awali ya yote tukuapishe na manguvu ya giza ili usije tugeuka ...na ni gharama....njia ya mafanikio si nyepesi kama huna roho ngumu we potea kimya kimya.
 
Back
Top Bottom