Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature currently requires accessing the site using the built-in Safari browser.
ULIKUWA SHAMBA ULIAGA LAKINI ? AU NDO ULIONDOKA KIMYA KIMYA? KARIBU NAWE.....!Kweli yakhe! Pakacha si mzigo atii! Ila kilichomo pakachani ndo mzigo wenyewe! Lau pakacha halifungwi kama mzigo, aghalabu pakacha huwa wazi, kama yale yatembezeayo madafu, mboga na vikorokoro vingine. Ila kipakacha ni kidogo hicho, kama vile vibebavyo vitunda kama zambarau, shokishoki au hata halua wakati mwingine!
Basi tuyaache, ila jina la mwenzetu waama limeleta haiba ya aina yake jamvini JF. Karibu yakhe!! Na mie nina siku nyingi kidogo sijawa humu, n'likuwa shamba!