Kipa Gani wa Simba mkali zaidi kuliko wote tangu -labu ilipoanzishwa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kipa Gani wa Simba mkali zaidi kuliko wote tangu -labu ilipoanzishwa?

Discussion in 'Sports' started by Bujibuji, Jul 17, 2011.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Jul 17, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,347
  Likes Received: 22,199
  Trophy Points: 280
  Simba imekuwa na makipa wengi sana, lakini sijui yupi ni mkali zaidi kwa uhodari wa kudaka?
  Kina Mambosasa tumezisikia sana sifa zao, Idd Pazi, Mwameja, Kaseja, etc.
  Nia na dhamira yangu ni kufanya jamii ya Watanzania ianze kuwathamini na kuwaenzi wachezaji wake.
   
 2. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #2
  Jul 17, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 738
  Trophy Points: 280
  kura yangu inaenda kwa mohamed mwameja..Tanzania One
   
 3. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #3
  Jul 17, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,191
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  ther is only one kaseja
   
 4. Pukudu

  Pukudu JF-Expert Member

  #4
  Jul 17, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 2,970
  Likes Received: 735
  Trophy Points: 280
  hata mimi kwa umri wangu duniani kipa bora niliyemuona simba ni mohamedi mwameja ingawa kuna wengine wanapinga hebu wale kaka na dada zetu pia si vibaya wakitumwagia wasifu wa wale wa kale ka kina mambosasa na mahadhi
   
 5. Limbani

  Limbani JF-Expert Member

  #5
  Jul 17, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 1,441
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Mwameja kiboko!!
   
 6. Sumbalawinyo

  Sumbalawinyo JF-Expert Member

  #6
  Jul 17, 2011
  Joined: Sep 22, 2009
  Messages: 1,286
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  inasemekana athumani mambosasa ndiye
  aliyekuwa kipa bora kuliko wote nchini toka
  wakati huo hadi sasa. wenye data za
  kuongeza ama kupunguza hayo tunaomba
  msaada tutani. pichani mambosasa akifanya
  vitu vyake siku ya yanga na simba uwanja
  wa nyamagana, mwanza, mwaka 1974
  (samahani sio 1994) mbele ya kitwana
  manara popat wa yanga huku beki mkali
  shaaban baraza wa simba sc akihakikisha
  hakuna linaloharibika.
   
 7. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #7
  Jul 17, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Iddi Pazi alikuwa bora lakini hakuna kama Omar Mahadhi bin Jabir
   
 8. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #8
  Jul 17, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,347
  Likes Received: 22,199
  Trophy Points: 280
  sasa kati ya hao wawili nani ni mkali zaidi?
   
 9. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #9
  Jul 17, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Omar Mahadhi bin Jabir
   
 10. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #10
  Jul 17, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Omar mahadhi Bin Jabir ndio kipa pekee wa Tanzania aliyeichezea timu ya wachezaji nyota wa Afrika nzima enzi hizo. Walikwenda wawili, yeye na Maulid Dilunga wa Yanga. Hao wachezaji ingekuwa sasa, wangeweza kuichezea timu yoyote ya ligi kuu za Ulaya na wangekuwa nyota.
   
 11. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #11
  Jul 17, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Athumani mambosasa ingawa alikua na sifa ya udokozi!
   
 12. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #12
  Jul 17, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  nakuunga mkono huyo kipa mahiri kushinda woote waliopata kuwepo msimbazi
   
 13. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #13
  Jul 17, 2011
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Omar Mahadh. Ila wangenigundua nikiwa dogo mngekuwa mnanitaja leo hii
   
 14. M

  Masuke JF-Expert Member

  #14
  Jul 17, 2011
  Joined: Feb 28, 2008
  Messages: 4,606
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  Wekeni clip zao hapa tuone wengine hatukuwepo kipindi hicho.
   
 15. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #15
  Jul 17, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,759
  Likes Received: 82,836
  Trophy Points: 280
  Hakuna kama Mambosasa lakini jamaa alikuwa anapenda pochi sana hivyo ilikuwa rahisi kumnunua, alikuwa ana tamaa ya ajabu. Ila siku alizokuwa akiamua kufanya vitu vyake basi ilikuwa unafurahi na roho yako. RIP AM.
   
 16. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #16
  Jul 17, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,347
  Likes Received: 22,199
  Trophy Points: 280
  Unajua video camera zimeanza lini kuingia TZ?Wacha tuseme kuwa ni Kaseja peke yake ndo clip zake zaweza kupatikana online.
   
 17. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #17
  Jul 17, 2011
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  [​IMG]

  ...Omar Mahadhi 'Bin Jabir' ni huyo wa pili kulia!...mnyama mkali miaka hiyo, mnamuona Moh'd Bakari 'Tall', Abdallah 'King' Kibaden, Abdallah Mwinyimkuu, Adam Sabu, Abubakar Salum 'Bruce Lee,' etc...
   
 18. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #18
  Jul 17, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,689
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  Omar mahadhi bin Jabir....Sijui kama ipo mtandaoni,ila angalia mechi ya simba na Vita.Niliiona kwenye kideo a long time ago,lazima kuna taasisi inayo hiyo video.
   
 19. VUVUZELA

  VUVUZELA JF-Expert Member

  #19
  Jul 17, 2011
  Joined: Jun 19, 2010
  Messages: 3,106
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Wewe unajua soka. Omar Mahadh Bin Jabir atabaki kuwa top goalkeeper in the history of soccer ya Tanzania
   
 20. Anheuser

  Anheuser JF-Expert Member

  #20
  Jul 17, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 1,962
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Hii survey sio ya kiufundi. Kuna mtu hapa amewahi kuwaona wote "tangu klabu ianzishwe?"

  Mimi sijawahi, nimeanza na era ya Moses Mkandawile na kuendelea, hivyo siwezi na sitakiwi ku comment kuhusu kina Mambosasa na Mahadhi.
   
Loading...