king majuto
Member
- Dec 20, 2020
- 39
- 51
Menejiment ya kioo limited kiwanda cha kutengeneza chupa natoa maoni juu ya uongozi upande wa usafirishaji haswa kwa mtu anayeitwa mwalimu huyu mtu atawakosha madereva bora na wenye viwango vya hari ya juu kwa roho yake mbaya anafanya kampuni kama ya baba yake dereva hata ukizi vigezo vyote yeye kama hakupendi atakupiga chini na kuweka ndungu zake uongozi haulitambui huweka ndugu au jamaa zake kwa lento tu kula gari linapo safiri akatiwe chochote kitu hapo hapo amejivika kilemba cha ulokole wakati hana ulokole wowote.huyu mtu hafai kuwa kiongozi. Kama dereva wa maroli tena wa siku nyingi na nimziefu Nimefanya test vizuri yeye kapiga simu kwenye kampuni nilikokuwa zamani kaambiwa maneno ya kinafiki eti Mimi mlevi kituambacho sio kweli hata pombe ladha yake sii jui kanikosesha liziki hivi hivi nakushauli wewe unaejiita mwalimu hapo kioo limited jirekebishe na roho Yako mbaya azawaiz nakushauli uongozi wa kioo mwangalieni huyo mtu kwa jicho la tatu atawakosesha madereva bora na waaminifu.