Kioo cha nyuma kulipuka na kupasuka tatizo ni nini?

Ziltan

JF-Expert Member
Aug 20, 2011
2,649
6,832
Hiki kioo nimeweka kipya mwezi January tarehe 30, sasa leo nikiwa nasafisha gari, kwenye kioo cha nyuma kwa kutumia maji sabuni ya unga na mchanga kidogo ili kuondoa magundi yaliyong'ang'ania mara ghafla nkasikia kishindo, kuangalia huku na kule, kioo cha nyuma kimelipuka na kupasuka vipande vipande.

Hapo shida ni nini wadau? Gari ni succeed.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hiki kioo nimeweka kipya mwez Jan trh 30,
sasa leo nikiwa nasafisha gari, kwenye kioo cha nyuma kwa kutumia maji sabuni ya unga na mchanga kdg ili kuondoa magundi yaliyong'ang'ania ,
mara ghafla nkasikia kishindo,
kuangalia huku na kule, kioo cha nyuma kimelipuka na kupasuka vipande vipande,
hapo shida ni nin wadau,
gari ni succeed.

Sent using Jamii Forums mobile app
January tarehe 30. Ambayo bado hajafika.

Hayo majini yako yaambie mamamamae zake na mama zao,wajomba,mashangazi na sehemu zao za kutolea haja kubwa.
 
bado hamjaeleeza source n nn,
mchanga nimechovya kdg tu, na nilikuwa Nasugua trtb sana tena kwa maji yenye povu,
kama mchanga ni sumu basi kioo vingeshapasuka sana,
maake barabaran ndio vimetawala.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
January tarehe 30. Ambayo bado hajafika.

Hayo majini yako yaambie mamamamae zake na mama zao,wajomba,mashangazi na sehemu zao za kutolea haja kubwa.
Babu naamini kabisa aliekomenti hapa sio wewe bali ni K-Vant.

Sent from my DUB-LX1 using Tapatalk
 
hiki kioo nimeweka kipya mwez Jan trh 30,
sasa leo nikiwa nasafisha gari, kwenye kioo cha nyuma kwa kutumia maji sabuni ya unga na mchanga kdg ili kuondoa magundi yaliyong'ang'ania ,
mara ghafla nkasikia kishindo,
kuangalia huku na kule, kioo cha nyuma kimelipuka na kupasuka vipande vipande,
hapo shida ni nin wadau,
gari ni succeed.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana kwa mkasa mkuu...

Pili, hii Jan 30 ni ya mwaka gani...?

Tatu, hicho kioo kuvunjika naweza nikasema umesababisha wewe mwwnyewe.....kioo huwa hakioshwi kwa mshanga coz hiyo si sufuria...

Huo mchanga umesababisha michirizi midogo midogo ambapo pengine ulikuwa unaoshea gari kwenye jua kali hivyo ulipomwagia maji ya baridi kioo kikapoa kwa ghafla hivyo kikakakamaa na kuvunjika vunjika..

Lakini pia kioo unachonunua si genuine kulinganisha na kilichotoka na gari na ukumbuke kioo cha nyuma kwa gari nyingi huwa kina umeme kwa ajili ya kuondoa ukungungu...
Pengine hizo njia za umeme ni feki sana hivyo zikachangia kitu kama choti hivi baada ya wewe kusugua na michanga...

Ni bora ungetumia hata mafuta ya taa ambayo yanapatikana kirahisi kila kona ya nchi....mafuta ya taa yanauwezo wa kuondoa zile gundi wanazoshikiziaga kioo ili silicon ikauke...

Pole sana...
NEVER REPEAT THIS FATAL MISTAKE....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom