Ziltan
JF-Expert Member
- Aug 20, 2011
- 2,649
- 6,832
Hiki kioo nimeweka kipya mwezi January tarehe 30, sasa leo nikiwa nasafisha gari, kwenye kioo cha nyuma kwa kutumia maji sabuni ya unga na mchanga kidogo ili kuondoa magundi yaliyong'ang'ania mara ghafla nkasikia kishindo, kuangalia huku na kule, kioo cha nyuma kimelipuka na kupasuka vipande vipande.
Hapo shida ni nini wadau? Gari ni succeed.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo shida ni nini wadau? Gari ni succeed.
Sent using Jamii Forums mobile app