Kioo cha Camera ya Samsung A50 nitapata wapi Arusha?

Darren2019

JF-Expert Member
Nov 23, 2019
1,112
2,379
Wakuu habari zenu?

Simu yangu tajwa hapo juu nimeikandamiza kwenye mlango ikapasuka kioo cha camera ya nyuma.
Naomba kuuliza kama spare zake zipo na bei yake.

Nipo Arusha.
 
Back
Top Bottom