Kionjo cha wimbo gani hiki? Anaimba Nargis Mohame

mama rei

Senior Member
Jul 31, 2019
135
169
hakutakiiiii hakutakiiii bado wamng'ang'ania lako hilo mwenyewe utajijuaaaaaa ×2 utajijua mkondobwee utajijuaaaa

kiko katika clip anaimba nargis.mohamed instagram.nimeseaech you tub sijpata wimbo sahihi umenikunaje please help
 
Wimbo unaitwa Mkodombwe umeimbwa na East African Melody. Ningekua karibu na mashine ningekutumia
 
Wimbo unaitwa Mkodombwe umeimbwa na East African Melody. Ningekua karibu na mashine ningekutumia
duuh nimeusearch nimeambulia patupu saa hizi hio machine iko pande zipi unitumie
 
Kuna clip Lulu Elizabeth Michael anaimba. Sijui jina LA wimbo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom