Kiongozi wangu jitafakari, soma alama za nyakati mapema.

Teko Modise

JF-Expert Member
May 20, 2017
2,230
7,400
Ukiwa kama Kiongozi kijana katika Serikali hii ya awamu ya tano ya Rais Magufuli, umekuwa ni mchapa kazi mzuri sana, hakika kasi yako ni nzuri ila haiendani na bosi wako. Umewekwa katika target na muda wowote kuanzia sasa unaweza ukaenda na maji.

Hivyo ni wakati wako kuusoma mchezo mapema na kutafakari kwa kina na ikiwezekana ukajiweka kando kabla hata hujawekwa kando. Kaka yangu huu ni ushauri wangu kwako na tafadhali usiupuuze, narudia tena tafaadhali usiupuuze!

Pull up your socks!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom